Friday, May 02, 2008

MAFUA YA NDEGE

Mtaalamu akimfanyia uchunguzi ndege kama ameathirika na mafua ya ndege.
Wananchi wakifuatilia maonyesho kuhusian an amafua ya ndege jijini Dar es Salaam, ndege aina zote huwez akuambukizwa na kuambukiza ugonjwa huo kwa binadamu.
TAHADHARI
+ Nawa mikono kwa sabunio mara baada ya kumaliza kuhudumia kuku kwa ajili ya kitoweo.
+Pika nyama mpak iive vizuri.
+Usilale nyumba moja na Kuku.
+Kujenga mabanda bora kwajili yakufyugia aina yoyote ya ndege iwe kuku, ndege ama bata.
+Ukiona vifo vya ndege kama kuku ama bata toa taarifa ofisi ya kijiji ama wataalamu walio karibu nawe.
+Mtu yeyote akipata mafua makali afike kituo cha afya kupatiwa matibabu.

2 comments:

Anonymous said...

By the way Mzee wa Sumo Michuzi yuko wapi? Haja-post chochote kwenye blog yake tangu 25/04/2008!! Maybe you could know?

Anonymous said...

michuzi huwa hawezi fanya kazi kama mh. rais hayuko nchini, michuzi ndo fagia njia wa mkulu kama hujui, nadhani atakuwa ethiopia au uganda, yeye huwa anapita kwanza kisha kikwete anaenda!