Mkurugenzi wa Idara ya Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Phocas Lasway (kulia),
akionja pombe ya kienyeji aina ya Unkombhoti inayotumiwa na baadhi ya makabila ya Afrika
Kusini, alipotembelea mwishoni mwa wiki, jumba la 'The SAB World of Beer' lenye kumbukumbu
mbalimbali zinazoelezea asili ya bia Ulimwenguni, lililopo katikati ya Jiji la Johannesburg.
No comments:
Post a Comment