Friday, June 13, 2008

BAJETI

Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa mkullo akionyesha kibegi kilichokuw ana hotuba ya bajeti jana, hata hivyo bajeti hiyo inaelezwa kuwa haitishi ni kama ileile bia, sigara na vitu vya kawaida bei juu, mafuta wameachia kupandisha kwani bei inapanda yenyewe! Na sasa hivi wengi wetu ndio tulikuw atunaanza kupata vipersonal loan kwajili ya kununulia vimotokari lakini bei ya mafuta Duh! buku mbili (2000) karibu! Mtanganyika akifuatilia bajeti jana akiwa na matumaini ya kukombolewa! naona umefika wakati wa kila mtu kipigana kivyake!

No comments: