
Mjaluo wa Marekani Barrack Obama ameweza kujikusanyia kura za kutosha na kuweza kushinda awamu ya kwanza ya kugombea kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais wa Dunia(Marekani) usiku wa kuamkia leo huko Minnesota na kama akifanikiwa,atapambana na John McCain wa Republican. Lakini pamoja na kupigwa chini, Mke wa rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton, Hillary ambaye alikuwa akipambana na Obama amegomea kukubali matokeo na kusemakuwa hatatoa maamuzi yake mapema na kuwa bado anatafakari.Hii ni ishara kuwa abado ni king'ang'anizi akisubiri matokeo ya ya kura za watu muhimu katika chama hicho kabla ya obama kutangazwa, yetu macho!
No comments:
Post a Comment