Jamani samahanini kwa kutokuwepo hewani kwa kipindi kifupi, ilikuwa ni mambo ya pwani yaliyonichengua lakini hapa ni Pemba! Salmin Amour alisem aZanzibar ni njema na atakaye aje!!!!
1 comment:
Anonymous
said...
mzee umekosea,ni mzee ruksah alivyokuwa rais wa zanzibar ndo usemi wake ulikuwa "zanzibar njema atakaye aje" kipindi kile zanzibar biashara nje nje.alivyoamia kuwa rais tanzania ndo akawa mzee ruksa.mwinyi wazanzibari hatutakusahau,ulikaa madarakani muda mfupi lakini nchi ilikuwa hela nje nje,biashara kila kona.watu walitoka kila kona mpaka kusini mwa africa kuja kununua mzigo kwetu.kila la kheri mzee ruksa!!

Post a Comment