Wednesday, June 04, 2008

MASAIBU SULLIVAN




Jamani mkutano wa Arusha wajasiliamali mbalimbali wamemiminika huko wengine wanatangaza biashara zao na wengine wanazifanya kama dada huyu alidaiwa kuwa amekwapua kitu katika moja ya mabanda ya maonyesho katika AICC. Sasa acha hiyo, wafanyabiashara kibao wamemiminik akutoka nchi jirani na Tanzania kila kitu kimepanda bei mpaka huduma za kijamii walioko huko wanadai hata changudoa wamepandisha bei wanataka dola!

2 comments:

Anonymous said...

what a shame dada mzur kama hivi anakuwa mwizi, kama kaiba acha sheria ichukue mkondo wake ili funzo kwa wengine.
Ms Bennett

Anonymous said...

LV yenyewe fake sasa uniba ya nini