Maneno mengi yalielezwa kuhusu hali ya Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Shaaban Bin Simba, lakini Alhamdulillah amerejea nchini akiwa salama ingawa anatumia magongo kutembea.
Ameongea na waandishi wa habari hii leo na kusema kuwa hajakatwa mguu inagwa alifanyiwa operesheni katika mguu wake. Amewashukuru watu wote kwa dua!
Hata hivyo ajapenda kuzungumzia mgogoro wa taaisis ya bakwata ambao kwa sasa viongozi wake hawaelewi alichonacho Mufti moyoni.
Mwenyezimungu amuepushe na yote yaliyokuwa yakisemwa hata kufanya watu wengine kuchanganyikiwa. Inshaallah!
No comments:
Post a Comment