Panya akila mafunzo ya uteguaji mabomu katika Chuo kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) Mkoani Morogoro hivi karibuni. Panya 36 wamehitimu mafunzo wiki iliyopita na wanapaa kwenda Mozambique samahani Msumbiji, kwa ajili ya ajira hiyo mpya ili kusaidia kutegua maelfu ya mabomu yaliyotegwa wakati wa vita.
1 comment:
Sasa kaka Mpoki panya wakihitimu wanapewa vyeti vya level gani? Cheti? Diploma? Degree?...........don't take it serious, just kidding! kuchangamsha blog!
Post a Comment