Jamani watu walileta ubishi kwamba Stars ingefungwa sijui ngapi na Cameroon lakini wamekomaa na game imetoka 1-1. Sasa kimbembe marudiano kwani Stars wamemudu mpira wa leo kichizi. Haki ya Mungu naweka picha sasa hivi!
5 comments:
Anonymous
said...
Sio moja moja bwana umeshachemsha kwa furaha ya droo!! Gemu bila bila!! Haya lete mapicha watu wafanye masanga!
hili ndio tatizo letu wabongo yani droo watu tunashangilia utafikiri tumeenda huko south africa,ila tukumbuke kua droo haziwezi kutufikisha bondeni,najua hili leo hatulioni kisa tumetoka droo ila kesho tukishindwa kwenda south ndio tutakapoona oooh kumbe zile droo ilikua gundu kwentu,mana kwa ilivyokua ilionekana wazi kua wenzetu hawakuja kushinda ila walitaka hiyo droo.
Ulitaka tuchangie, kwakweli sipendi tabia ya hii timu yetu ikitoa droo au kushinda kagoli kamoja kufanyiwa sherehe, wafanyiwe sherehe kwa lipi? majitu yenyewe kutwa kujisifu wakati hayajui kufunga vena Arusha
5 comments:
Sio moja moja bwana umeshachemsha kwa furaha ya droo!! Gemu bila bila!! Haya lete mapicha watu wafanye masanga!
hili ndio tatizo letu wabongo yani droo watu tunashangilia utafikiri tumeenda huko south africa,ila tukumbuke kua droo haziwezi kutufikisha bondeni,najua hili leo hatulioni kisa tumetoka droo ila kesho tukishindwa kwenda south ndio tutakapoona oooh kumbe zile droo ilikua gundu kwentu,mana kwa ilivyokua ilionekana wazi kua wenzetu hawakuja kushinda ila walitaka hiyo droo.
we acha uhuni hiz timu hazijafungana labda unaota
mojamoja? hawakufungana wewe, au ulipost hii habari ukiwa umelewa
Ulitaka tuchangie, kwakweli sipendi tabia ya hii timu yetu ikitoa droo au kushinda kagoli kamoja kufanyiwa sherehe, wafanyiwe sherehe kwa lipi? majitu yenyewe kutwa kujisifu wakati hayajui kufunga
vena
Arusha
Post a Comment