Friday, June 13, 2008

TAARIFA

Samahani wapendwa wa blog hii nilisahau kuwataarifu kuwa kesi ya polisi walioshtakiwa kwakuua wafanyabiashara imeahirishwa mpaka itakapotangazwa tena, hivyo basi naomba tuwe na subira mpaka mahakama itakapotutaarifu tena bado mashahidi zaidi ya 20 upande wa mashtaka na washtakiwa hawajajitetea. Kwa leo naomba tuendelee na vitu vya kawaida ila kama kuna vitu specific nitawaleteeni hasa mechi ya Stars kesho! mnaruhusiwa kuomba habari! Bukuku

No comments: