hivyo vitanda bado vinatumika sana, sio Pwani peke yake, hata sehemu zingine bado vinatumika. Kule kwetu Songea hivyo vitanda vina kazi ya ziada (vinatumika kulazia na kuoshea miili ya marehemu), hivyo hata kama mtu amekufa na hakuwa na kitanda kama hicho, kitatafutwa ka udi na uvumba na hasa kwa sehemu za vijijini ndo kabisa, yaani ni lazima kitafutwe kitanda kama hicho kwa shughuli hiyo maalum. na kwa mtaji huo, huwa tuna kamsemo kwamba hata uringe vipi, siku ya mwisho utalala juu ya teremka tukaze!!
2 comments:
Vitanda kiboko hivi!Tatizo letu ni kuacha vyetu badala ya kuvi improve.

Post a Comment