Yaani nimeamini wasukuma wanapenda bike hapa lilikuwa eneo la maegesho ya usafiri na haikuwa hapa tu sehemu kama nane nadhani kama kampuni ya parking ya mzee nanii ikipata tenda Shinyanga watamake sana!
2 comments:
Anonymous
said...
nakutumia picha yaparking ya baiskrli kwa mail yako, utachoka
2 comments:
nakutumia picha yaparking ya baiskrli kwa mail yako, utachoka
tatizo la hawa ni kuuwa albino.........na wazee wenye macho mekundu!
Post a Comment