Jamaa hawa kama ukikutana nao katika hii ngoma usiku mitaa ya Dar si unaweza kuzimia?
Ni wababe na ngoma yao ni ya nguvu kumbe hapo wanakuwa wanataka kumfanyizia mtu!
Nikagundua kumbe ni Sungusungu mkoani Shinyanga niliwakuta eneo moja la Ishinabulandi Shinyanga vijijini nasikia ukikutana nao hata kama hujatenda kosa kubali kwani ukijitetea mijeredi wasliyobeba inakuishia!!!!
No comments:
Post a Comment