Tuesday, August 26, 2008

ATHUMANI IDD (CHUJI)

Wachezaji wakali bongo sijui kwa nini wanakosa hata timu za daraja la pili ng'ambo kama Athumani anajitahidi sana lakini bado anaendelea kula pesa za Manji.
Watu wakamzushia haziwivi na Kaseja sasa ona wanasherehekea bao kwa pamoja!

3 comments:

Nalitolela, P. S. said...

hii kitu hata mi huwa najiuliza kwakweli. Nonda alipokuwa Yanga he was good ila hakuwa wa kutisha namna hiyo. Ila angalia, kaenda nje kacheza ligi kubwa kma Uingereza, Italia, Ufaransa na Uturuki (ingawa Nonda alikuwa only 16-17 then).
Sasa Kabanda naye tunasikia huyo safari.
Wakati mtu kama Lunyamila ambaye kwa maoni yangu is a great footballer kaishia kuchezea Yanga na Simba; ndio mafanikio yake makubwa.

Itabidi tuanze kujifunza kifaransa na tuwe tayari kuzamia Ubelgiji na Ufaransa ili tutoke, haha. Ila Rena angalau anatuwakilisha na Kali (hivi alibadili uraia kuchukua wa Tz au?)

Anonymous said...

wa-TZ mmezidi kulogana. Mi naamini hata huyo Lunyamila unayemsema, kama mtu ukimuuliza vizuri atakwambia kuna sehemu ya kiungo chake huwa kina muuma mara kwa mara. Alisharogwa yule asingeweza kwenda kokote. Tunayafahamu mengi kuhusu KASEJA na IVO

Anonymous said...

mimi ninadhani tuwatunze vyema wachezaji wetu (kwa kuwalipa vizuri) ili kukweza jina la Tanzania kwenye soka badala ya kudhani kila mchezaji mzuri lazima aende akachezee timu za nje. Tuwalipe wachezaji wetu inavyostahili.