Thursday, August 28, 2008

DAR INATISHA

Jamani hapa ni Ubungo bus stand nadhani wengi tunajua vituo kama Posta Mpya na Stesheni enzi hizo lakini Ubungo sasa ni kiwango cha juu. Hata magari yamekaa kwa mpangilio.
Katika kuboresha miundombinu na mazingira unaweza kujionea mwenyewe barabara ya Sam Nujoma inavuoonekana kwa juu ikiw ana miti ya kutosha na majengo yakijichomoza kwa chaati.
Hii ndio njia ya kuingia jijini Kutoka mikoani maeneo ya Ubungo, mabadiliko yako kwa kiasi fulani naogopa kubonda kuna vijimaendeleo kiasi wadau manasemaje?

2 comments:

Anonymous said...

mzee picha kama hizo ndo tunazotaka kuziona,sisi tuliokuwa huku hughaibuni tungependa kuona mara ka mara maendeleo ya miji yetu mikubwa,kama dar,arusha na mwanza,sio kila siku epa tu.

Anonymous said...

Good work! My hat is off for u! Keep it up!