Saturday, August 23, 2008

PRESIDENTIAL WEDDING

Rais jakaya kikwete akiwa na mwanae Ridhwan baada ya kufunga ndoa jana.
Ridhwan Kikwete akiwa na mkewe Arafa

2 comments:

Anonymous said...

kwa kweli mama salma K hapo umepata mkwe mkweo haswa kwa mtazamo tu hana tatizo mwana wa watu kwa kweli mungu amemjaaalia kwa kila kitu.

kwa upande wa bwana harusi mtoto huyo anasifa zote ila tafadhali usimtie dosari ukaja ilaumu dunia

na wewe biarusi uendelee na upendo na tabia njema kama ulivyotoka kwa wazazi wako. sio kuolewa na mtoto wa JK iwe taabu kwa wasichana wenzako, hata salamu iwe kitu cha ajira kwako.

ninakutakia maisha mema.

Anonymous said...

My Sweet Theoretica,Arafa

Yesterday, I was passing by your rectangular house in a trigonometric lane
of life. There I saw you with your cute circular face, conical nose and
spherical eyes, standing in your triangular garden. Before seeing you my
heart was a null set, but when a vector from your eyes at a deviation of
theta radians made a tangent to my heart, it differentiated.

My love for you is a quadratic equation with real roots, which only you can
solve by making good binary relation with me. The cosine of my love for you
extends to infinity. I promise that I will not resolve you into partial
functions but if I do so, you can integrate me by applying the limits from
zero to infinity. You are as essential to me as an element to a set. The
geometry of my life revolves around the acute angles surrounding the
curvature of your personality.

My love, if you do not meet me at Parabola Restaurant on date 10 at sunset,
when the sun is making an angle of 160 degrees to the ground, my heart will
ocsillate harmonically along an unsolved Nth dimensinal polynomial equation
of the nth degree.

With love from your higher order derivatives of maxima and minima, of an
unknown function.

Yours ever loving.........Ridhwan


........
salaaaaaaaaam toka Bondeni!