Tuesday, August 05, 2008

USAFIRI WA WANAFUNZI

Yaani jamaa baada ya kugundua daladala zimekuwa aghari wameamua kutumia Baiskeli jijini Dar es Salaam kwenda shule, kuna haja ya kupinga sh100 kweli?

No comments: