Thursday, September 18, 2008

MAJI

Mama wa Kimasai sijui Kibarabeig akichota maji katika kisima kifupi wilayani Iramba mkoa wa Singida! Wakati watu wa Dar esnalalamikia Dawasco haya yakikatika hawa wamlalamikie nani?

No comments: