Tuesday, September 23, 2008

MELI

Wavuvi wakitoa mizigo yao baada ya kazi ngumu Ferry jijini Dar es Salaam, wakati ndinga kubw akutoka ughaibuni ikileta magari chakavu (used) kwa jili ya soko letu la kibongo.
Kama uchumi wetu ungetisha asilimia 80 ya magari melini humu yangekuwa mapya. Inanikumbusgha miaka ya 70/80 wakati kulikuwa na showrooms za Landrover, Peugeot, Renault, Morris na brand nyingine lakini kwa sasa Toyota Tanzania ni kwa ajili ya magari ya serikali na NGO's tu.
Sisi tunasubiri showroom za Buguruni Magomeni na Kinondoni. Life goes on!!!!

No comments: