Tuesday, September 16, 2008

PRAWNS

Hivi vidudu kwa sisi watu wabara hatuvijui sana lakini vitamu, watu wanaita dagaa kamba, uswahili huwa vinauzwa unavichokoa na vijiti! na Chachandu.

No comments: