Thursday, September 18, 2008

SHUKRANI

HI! All
KWA NIABA YA ATHUMANI HAMISI MSENGI, NINASHUKURU SANA KWA MAOMBI YENU MNAYOMPA NDUGU , RAFIKI NA JAMAA YETU WA KARIBU KUTOKANA NA HALI YA UGONJWA ALIYONAYO.
TUZIDI KUMUOMBEA NA ATAPONA MUNGU YU PAMOJA NASI.

ATHUMANI ALIPATA AJALI YA GARI SEPTEMBA 12 2008 AKIWA NJIANI KWENDA KILWA GARI YAKE ALIYOKUWA AKIENDESHA ILIPINDUKA, KWA SASA AMELAZWA MOI WODI I KWA MATIBABU ILA MINGANGO NA TARATIBU ZA KUMPELEKA NJE KWA MATIBABU ZINAENDELEA.

MROKI MROKI

mrokim@gmail.com

No comments: