Wednesday, September 03, 2008

UHARIBIFU

Jamani hawa madereva afadhari wanekuwa wnaanguak na kuharibu magari yao lakini sasa wanaharibu mpaka miundombinu? Sasa wananchi watasubirije gari hapa kama ikiwa jua kali ama mvua?

No comments: