Friday, September 05, 2008

UNYAMA GANI HUU

Niliposema kutoa mimba unyama ni kama hivi afadhari mtu angetupia chooni kasionekane sasa katoto kamefanywa kiweo cha nzi!!!!? Sijui tunakwendawapi? Samahani kwa picha hii ya chini niliona haijaeleweka.

1 comment:

Anonymous said...

unatuwekea picha gani hii we mzee wa sumo?