Friday, September 05, 2008

WAZEE EAC

Hivi hawa wazee wanadai kweli ama walishalipwa mbona kila siku Ikulu halafu hakuna mtu anayewasikiliza ama wanataka kuongeza idadi ya migomo kwa serikali hii? Halafu hawakamatwi ama wanadai kweli?

No comments: