Friday, October 03, 2008

FURAHA YA IDD

Kila mtu alikula sikuku kivyake, wengine ilinoga wengine iligoma lakini yote maisha!

1 comment:

Anonymous said...

Bila ya shaka huu sio utaratibu mzuri wa kusherehekea sikukuu haswa kwa watoto wadogo. Hatuna budi kujifunza kwa maafa makubwa yaliyotokea tabora. Serikali lazima itilie maanani suala la kutenga maeneo maalum ya viwanja vya kufurahishia watoto vyenye mabembea na mambo mengine muhimu sio kuwapeleka watoto beach na kwenye "disco toto".