Thursday, November 20, 2008

JUMA NATURE KORTINIMsanii wa Bongo Flavour, Sir Nature ajna alitinga kortini kukabili mashtaka ya kubaka mwanafunzi wa kidato cha tatu mwenye miaka 16! Hapa akitolew amahakamani baada ya kupata dhamana! Wapi tunakwenda maana kwa sasa inabidi tuende kupata burudani jela kila mmoja anaenda huko!

6 comments:

Anonymous said...

Heee!!!! Juma Nature, kama kweli ulifanya hivo ni jambo la aibu sana. Wewe ni msanii mzuru unapata pesa nyingi, sasa kwanini usioe na ukatulia na mkeo? Sina hakika kama ulifanya hilo kosa lakini naweza kuamini maana wasanii wetu mmezidi kuvuta bange. Sasa kuna kitu kinaitwa "SOSPA" Ushahidi ukipatikana na Hakimi akatumia "SOSPA" mwanangu si mvua hizo ni balaa.

Anonymous said...

mi naona hiyo adhabu tosha kwa wasanii.kama ni kweli haki itendeke maana wanajisahau kwa kupotosha jamii.wao ni kioo cha jamii lakini wakipata wanataka kuharibu badala ya kujenga.kama ni kweli apewe adhabu ili iwe fundisho kwa wengine.nae huyo mwanafunzi apewe adhabu kwanini anakubali kuwa na mahusiano ya kimapenzi akiwa shule.Akumbuke kidato cha tatu si mdogo wa kudanganywa.apewe adhabu ikibidi shuleni mbele ya wenzake ili ajifunze mapenzi na shule haitakiwi.vyote atavikuta havibadiliki na aangalie ukimwi na madawa ya kulevya maana wakina juma nature ni bangi tupu.USIBANIE COMMENT YANGU

Aliko said...

Duh!

Anonymous said...

DUH EBWANA HUYU NDIO JUMA NATURE MBONA KACHOKA HIVI..NDIO WASANII MA SUPER STAR WABONGO WAMECHOKA IVI..YANI UTAFIKILI KIBABU KICHEA BAO

Anonymous said...

HUYO NI JUMA AU BABU MCHEZA BAO KONGOWE..KAMA MASUPA STAA WENYEWE NDIO HAWA WAMECHOKA HIVI BASI KAZI HIPO BONGO..

Anonymous said...

BABU SEYA MMEFUNGA MAISHA KWA VILE SI MTANZANIA, NA HUYU JEEEE?