Thursday, November 06, 2008

KISAGO UDSMYaani wanafunzi wote wnadai haki ya mikopo lakini walipeana kichapo kichizi wenyewe kwa wenyewe, sijui kama Waziri wa Elimu angejitokeza mwenyewe wangemfanyeje? Mungu wangu sijui wapi tunakwenda.

No comments: