Tuesday, December 23, 2008

AJALI DESEMBA


Hivi ni kweli ajali kama hizi zinatokea mwezi huu kwa sababu mwisho wa mwak aama kwa sababu ya uzembe!!! Tafakari!

3 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Mwisho wa mwaka huambatana na fikra nyingi ambazo hazionekani kwa nje. Sijui ni furaha ya kumaliza mwaka ama karaha ya kutokuwa na pesa ya kutosha kwa ajili ya sikukuu ama hasira za kutokuwa nyumbani na mamaa siku ya "sikukuu" kunakowafanya watu wapitilize katika kuwaza na kujikuta wakipoteza umakini wa watendayo?
Vyovyote iwavyo nadhani ni mchanganyiko na mkanganyiko wa vyote usababishayo hayo.
Poleni kwa wahusika na wahanga

John Mwaipopo said...

Yalaaa! Imetokea wapi hii?

Anonymous said...

HUU NI UZEMBE TU ndugu yangu mwisho wa mwaka hauhusiani na ajari. Mwisho wa mwaka ni siku kama siku zingine tu alizoziumba MUNGU. Madreva wazembe...Uzembe wa mamlaka zinazohusika, ndo vimetufikisha hapa tulipo. Nawashukuru sana IATA kwa kushinikiza ATCL wanyang'anye leseni.