Monday, January 05, 2009

MISS EAST AFRICA


Miss East Africa Claudia Niyonzima wa Burundi akikabidhiwa funguo za gari yake Toyote Lexus sijui nini vile!!?

Mshindi wa pili wa shindano la Miss East Africa Aneth John akipokea hundi yenye thamani ya Dola 5,000 kutoka kwa balozi wa Burundi Amuri Leonare.


No comments: