Friday, January 02, 2009

MWAKA MPYA USWAZIUswahilini kil amtu alichekelea mwaka mpya kivyake na kwa raha za aina yake, polisi walifanya kazi za ziada kuzima matairi, sijui kwa nini wanayazuiaga?

2 comments:

Aliko said...

Your work is incomparable mzee wa Sumo You stand out on your own Game big up yourself and this photo blogging

salim shawa scisltd said...

Mzee wa sumo mimi nimeona nisikae kimya kwani ulivyoandika kuhusu hawa askari kuyazima matairi, kipindi chakushelekea mwaka mpya ni chamuhimu sana kwani katika swala la kujali usalama wa raia wanatakiwa wazime matairi kwani yanahatarisha maisha yao wenyewe wananchi na ukweli ni kwamba mpaka watu waone madhara ya moto, ndio wataacha kucheza na moto kwahiyo watu kama nyinyi mnaoelimisha jamii kwa upande mmoja au mwingine muwe mnaangalia maneno yenu, kwani kuzima moto siyo kazi ya polisi hata wewe unatakiwa ukee vitu kama hivyo, habari ndio hiyo, siyo kama naharibu lkn inatubidi na sisi wananchi tujielimishe na hadhari za moto, pamoja tunawakilisha Tanzania for Life(mimi na Tanzania damdam,)