Friday, January 23, 2009

NYUMBANI KWA OBAMA

Watu waklikuwa wanashangaa wakafikiri watoto wa Obama watashangaa wakihamia White House kama wa kwetu wanavyoshangaa wakiingia nyumba kubwa! Hapa bwana Obama si mtoto wa Mkulima hii ndio nyumba yake aliyokuwa akikaa Chicago, watoto wawili gorofa mbili!!!

No comments: