Tuesday, January 13, 2009

OPERESHENI SANGARA DAR!


Baada ya ziara za mikoani na kumwaga sumu katika Operesheni Sangara sasa Viongozi wa Chadema wameingia jijini Dar es Salaam kuendeleza operesheni hiyo.
Jana hiyo ndio walitanagaza rasmi kuvunja ndoa na vyama vingine vya upinzani!!
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amesema wamegundua kuwa kuna vyama vingien ambavyo ni mamluki katika upinzani na hivyo Chadema kitapambana chenyewe kuwakombioa wa TZ!

No comments: