Tuesday, January 13, 2009

UHABA WA PETROLI DAR

Pamoja na kuwepo kwa magari mengi jijini lakini wafanyabiashara wa mafuta wameamua kuwafanyizia watu kwakudai kuwa Petroli hakuna na vituo karibu vyote kugoma kuuza mafuta hayo.

Foleni kama hizi zimekuwa nyingi katika baadhi ya vituo vyenmye mafuta kiasi chakufanya watu wakumbuke enzi za ugawaji!!! Bongo hii kil amtu mjanja, sijui wanataka kuanza kutuuzia kwenye vidumu sh2000?

No comments: