Wednesday, February 18, 2009

NATIONAL STADIUM

Huu ndio lunyasi ndani ya Uwanja wa taifa baada ya kukamilishwa kw azuria la kukimbilia wambulu na kukabidhiwa juzi na wachina kwa wabongo waweze kufanya mambo! Ila kweli tukiachia mameneja kama waliopo sasa hivi tutafika kweli?


No comments: