Sunday, March 29, 2009

AJALI AJALIAjali imetokea kwa mara nyingine mkoani Dodoma kati ya vituo vya Gulwe and Igandu na kupoteza maisha ya watanganyika kadhaa (Idadi hauijajulikana) lakini ni kwamba zaidi ya watu nane wamekufa baada ya treni ya Express ya kampuni ya Reli ya wawekezaji kugongana na ya mizigo. mabehewa yamebanana habari kamili baadae! Mungu atuepushe na haya!! Habari za sasa zinasema waziri amesema ajali hizo ni za kizembe na kuagiza Station Master wa vituo vyote viwili wakamatwe na madereva wa treni hizo miili sita ndio imepatikana. baadae1 comment:

Anonymous said...

kweli Mungu atuepushe na haya na mengine, Amina.