Tuesday, March 03, 2009

TANZIA


Mtanagazaji wa habari wa ITV, Rehema Mwakangale amefariki dunia leo alfajiri katika Hospitali ya Mission Mikocheni. Alikuwa amelazwa akisdumbuliwa na Pumu.Taarifa zilizopatikana ni kwamba msiba uko Kawe jirani na JKT Mlalakuwa na mazishi yatafanyila Alhamisi katika makaburi ya Kinondioni.Bwana Ametoa Bwana ametwaa, Jinala Bwana lihimidiwe.
Taarifa zaidi baadae.

No comments: