Friday, April 17, 2009

KITAFUNIO

Utamu wa kusafiri Tanganyika ni jinsi vitafunio vinavyouzwa hasa ukiwa msimu wa mahindi mabichi, utapata ya kuchoma na kuchemsha! kwa wasafiri wa mud amrefu wanaweza kuotea hapa wapi!!?

2 comments:

Anonymous said...

vigwaza...

Anonymous said...

kaka,we wa ileje nini?hivyo sio vitafunio hivyo ni vitafunwa...vitafunio ni meno..kwi kwi kwi