Sunday, May 24, 2009

UPIGAJI KURA
Baada ya kampeni zote wananchi walijitokeza wake kwa waume na hata walemavu ili kutumia haki yao kuchagua mbunge atakaowafaa, sasa sina la kusema zaidi kwani hii ilikuwa leo mpaka kesho ndio matokeo yenyewe. Nadhani tuwaachie wananchi wa Busanda.

2 comments:

Anonymous said...

Kiswahili kigumu eti? ATAKAYEWAFAA

Iddy said...

Badilisha neno HATA walemavu, nadhani ni ubaguzi wa jinsia.