Thursday, June 18, 2009

WAPANZI
Ilikuw akama utani maana viongozi wa Deci ambao ni watumishi wa Mungu walijitahidi kuwatafutia kondoo wao maisha bora kwa kuwalimia shamba ili wapande mbegu. Bahati Mbaya Mbegu zilioza.
Sasa wamefikishwa kwa pilato ili kuvuna walichipanda, klakini wapanzi nao wakaandamana hadi mahakamani ili waachiwe. Nao wakatiwa nguvuni.
Sasa wapanzi wamekuwa wengi pamoja na waliopanda kwenye mwamba, mchanga na kwenye mawe. Tutaona mbegu zitaotaje!!!

1 comment:

Rashid Mkwinda said...

Hivi kumbe hawa jamaa walikuwa wakifanya makosa kukopesha wajasiriamali kwa riba nafuu!!! au kuna mkono wa SIRIKALI na wajasiriamali wakubwa wakubwa hapa kuzuia watu wasihamishe fedha zao katika mabenki, lakini siku hizi ukiweka fedha Benki unakatwa hela, zamani ukiweka fedha zako katika benki unakuta kuna faida kibao!!!!! wameona mhhhh!!!! hawa jamaa watatuzidi kete ngoja tuwadhibiti!!!!