Wednesday, July 22, 2009

TEREMKA TUKAZE

Hapa jamaa ndio anaweka sawa kitanda kwa kutumia malihghafi za ndani, vitanda hivi maarufu san akwa watu tuliotoka pwani, wengine tunalaliaga ngozi!

1 comment:

Anonymous said...

Raha ya kitanda hiki hakihitaji godoro, ukiweka mkeka tu na shuka ni kipande cha kaniki, ndani ya nyumba ya makuti. Hata nje kuwe na joto la 38c ndani usingizi wake ni kama wa 5* hotel!!