Wednesday, July 08, 2009

VITEGEMEZI

Jamani vibukuku Junior hivyo!!! Viko vitatu kama boro Young!!

8 comments:

Anonymous said...

Hongera kaka! God bless and your family

Anonymous said...

Malafyale ndaga uswilile, lelo isukulu jojamuhimu fijo. sio mnatuonyesha picha harafu watoto badae wanakuwa hawana muelekeo!

JESSE(rajesse@hotmail.com) said...

Mpoki MUNGU akujalie kuwalea katika njia ya kumpendeza yeye,wamfaham MUNGU tangu sasa hata watakapokuwa watu wazima.Maneno ya MUNGU yanasema,"Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee".Ubarikiwe kaka.

ABEL said...

Naona wamefanana sana na baba yao!!Hasa pua wadau manaonaje?

Mzee wa Changamoto said...

Dah!! Mpaka Raha mkuu. Hongera saana. Watoto kulijua tabasamu si mazoezi, ni RAHA TOKA NDANI. Lazima wanafurahia maisha na kama ni vitegemezi basi vitegemezwi vyafanya kazi njema.
Hongera kwako na POLE NA HONGERA lwa mwenzako ambaye hata ukiwa kwenye pilika za kusaka ngawira nje ya nyumba anawaweka pamoja.
Baraka kwako, mshemeji na "vitegemezi"

Anonymous said...

I love you kids but the word you used Boro! mhh is that what you are teaching them! anyway well done. nina watoto wawili but natamani kuongeza mmoja. it look nice. usizae tena basi! wanatosha.

Mbotto (mwibaya@hotmail.com) said...

Babu naona mihuri yako haiongopii!!! Hongera sana!

Anonymous said...

ONGERA MKUU
DUNDA