Friday, August 21, 2009

AJALI AJALI


Ajali nyingine kali kama hivi nilikuwa najiuliza jamaa waliokuwa wamesimama na waliokaa upande wa kulia walilowaje? Ndio usafiri wa bongo, kuna la kusema?

No comments: