Saturday, August 22, 2009

MAMBO YA HASHEEM BONGO
Sasa hivi Hashim kimarekani Hasheem, anawapagaisha watu na vitu yake pale UDSM yaani basi tu! lakini kuna tall mwingine kaibuka nae anataka kulamba bingo!! Kumbe matolou wengi bongo Duh!!

3 comments:

Anonymous said...

mbona huyo tall hachezi nae?

Anonymous said...

Huyo tolu Baraka sijui, ana umri gani na anafanya nini? Tumpe dili? Mwambie asijifiche ajitokeze tumtoe kama mwenzake alivyotolewa.

Anonymous said...

ASIZUBAE KAMA YKO UNDER 20 ANAFAAA AENDE UBALOZU WA USA AKALAMBE DUME,KIKAPU WANATAKA UREFU SI KUJUWA MPIRA BEFORE. KALAGABAO.