Wednesday, February 17, 2010

CHEREKOCHEREKO

Kuaga ukapera!
Nundu ipooooo!!!!
Kwani ni wacko Jacko pakee anaweza kutembelea vidole?
Acha nicheze tuuuu!!!

Ilikuwa furaha baada ya Charles na Mary kufunga ndoa mwishoni wa wiki, watu walipagawa kichizi katika sherehe ya harusi iliyofanyika Msasani beach ukumbi!! Charles ameoa akiwa na nundu (kitambi), wengine tumevipata baada ya kuuza uhuru.

No comments: