Friday, February 05, 2010

JERRY MURO

BREKING NEWZ
JESHI la Polisi limemfikisha mahakamani mwandishi wa habari , Jerry Muro, ambaye ni maarufu kwa kufichua uozo, baada ya kumkamata kwa tuhuma za kudai rushwa kwa nguvu. Muro, mfanyakazi wa Shirika la Utangazaji (TBC), anadaiwa kutaka fedha kwa njia ya vitisho kutoka kwa mhasibu aliyesimamishwa wa Halmashauri ya Bagamoyo, Michael Wage.
Habari kamili baada ya kusomewa mashitaka.

2 comments:

kibunango said...

Usisahau keleta hizo habari kamili...

Anonymous said...

Hamna kitu hapa ki kutisha waandishi wa habari tu,mahakama zenyewe wala sio huru zinafanya parrotized jobs tu.