Wednesday, May 26, 2010

GARI LA RAIS

Mi naogopa kusema, lakini nahisi kuna jambo kwa nini Mkurugenzi wa Mawasiliano alidai kuwa hii ilikuwa pancha wakati gari liling'oka tairi? Kweli kuna usalama kama rais inamtokea hivi sasa tutalaumu ajali za Abood ama Shabiby?

1 comment:

Emmanuel said...

kaka mpoki na mimi nilishangazwa sana na kauli ya bwana rweyemamu kusema gari ilipata pancha na wakati hata picha inatuonyesha tairi imetoka na kama ni pancha waliwezaje kutoa tairi bila jeki huu ni uhuni sijui wana mpango gani na kiongozi wetu mkuu tukisema wanampotosha mkuu wanakuwa wakali hebu ni hili abishe na mimi nilitaka kupiga picha iyo ishu wakanionyeshea kipaja cha kuku (batora)