Friday, July 09, 2010

BIASHARA MATANGAZO
Watu wengi walijitokeza kuwalaki 'maharusi' waliokuwa wakivinjari katika viwanja vya Saba saba only kurealise walikuwa wakitangaza kampuni yao ya kuuza na kukodisha mavazi ya harusi. Ubunifu wa hali ya juu!!! Wabongo wanaanza kuchakalika sasa.

No comments: