Friday, July 16, 2010

HILI PWEZA NALO!!!

Sasa huu utabiri kwa wazee wa 'Kunja Ngumi' ni kwa wabunge ama? manaake sidhani kama watakuwa na mgombea Urais mwaka huu. Ila kwa wabunge inawezekana!!!!

2 comments:

Anonymous said...

Nasisi tumpe uraia huyo pweza, kwa upande mwingine, tatizo we mwenyewe uliyepost hiyo picha huna iman hata ndogo una woga, ondoa woga kaka.

mi naona tutafute kakakuona apewe bendera zote za vyama kama ilivyo desturi yetu ili na sisi tumnadi kama wajerumani baada ya uchaguzi.

emu-three said...

Basi kama ni hivyo kuna haja gani ya kupiga kura, maana huyu pweza au kaka kuona keshatabiri. Mimi nawaasa wenzangu kuwa kura ni muhimu sana katika maisha yetu tusiogope kupiga kura kwa visingizio anuai, piga kura kura yako kama si leo au kesho utaona tija yake.