Wednesday, July 14, 2010

KAWAMBWA CUP
Kampuni ya Tanzania distilleries (TDL) wameweza kufanya michuano ya Jimbo la Bagamoyo maarufu kama Kawambwa Cup kuwa ya mafanikio makubwa na kivutio kwa wakazi wa mji huo kutokana na udhamini walioutoa ili kukuza michezo ngazi za chini.
Pichani:
1. Mbunge huyo wa Bagamoyo, Shukuru kawambwa akikabidhi kikombe kwa mshindi.
2. Meneja wa Mauzo wa TDL Kanda ya Pwani ka kati Bw. Ngailo (Kushoto) akipokea Cheti cha Shukrani Kutoka kwa Waziri wa Miundombinu Dk. Shukuru Kawambwa kama shuklani yake kwa mchango uliotolewa na kampuni hiyo
3.Baadhi ya wafanyakazi wa TDL wakifuatilia mchezo wa fainali.
Ila chata la nyuma linatia kiu kwa sisi wa vikali!!!

No comments: