Tuesday, August 24, 2010

USALAMA WA RAIA

Vijana wa kamanda Tossi (FFU) wakiwa katika mavazi ya kisasa ya kufanyizia
wanaojifanya wajanja wakati wa uachaguzi. Mtakoma mwaka huu, mpambano wa mawe kama Tarime mwisho!!

4 comments:

Anonymous said...

just people on power using the taxpayers money to impose brutality to their citizen.

Anonymous said...

hilo ni bit tuu watu watishike

Anonymous said...

Kwanza ilikuwa ngozi za waakina dada, pikipiki, magari. ikaja ikawa makalio feki sasa mchina kaingia hadi kwenye mavazi ya ffu.

Anonymous said...

Mmh ama kweli nimejionea...haya sasa joto lote la bongo hilo na hayo mavazi kweli mmh......